Saturday, 21 December 2013

UCHOMOZI MBAYA




UPORAJI WA WAKENYA
In -82 vile KAF ilikuwa imeoverturn gava, Kenya ikakuwa under military for a day, watu waliiba sana. Vile duka za Bata humeka viatu za side moja on display, say right, mtu anaishia na gunia bila kuangalia na anaijaza. Akifika nyumbani kupima, he, amechukua viatu ka mia lakini zote ni za side moja.
Mafuanika wengine wanaiba fridge na wanaishi Mathare valley. Wakifika mutaa hata fridge, zile gigantic, hazipiti kwa door. Fuanika mbu mbu mbu anavunja door ndio aingize fridge. Akiingia ndani ndio anagundua ati Mathare valley hakuna stima.
In one day Kenya Air Force ili overturniwa na 82 Air Force after gava ime seek msaada. Land soldiers wakaikomboa nchi yetu hata watu wenye walienda tao manyani kupora hawakujua, wakarudi kwambi mabeshte kwenye wametoa bidhaa. Mabeshte zao wenye walirudi tao majioni jioni ati wapore ndio waliona muhadhara, gava in control, watu walitafuna risasi sawa sawa.    

No comments:

Post a Comment